Kikosi cha Yanga juzi kilishuka uwanjani na kuifumua Copco kwa mabao 5-0 katika mechi ya Kombe la Shirikisho, huku mashabiki ...
SIMBA jana kilikuwa uwanjani kumalizana na Kilimanjaro Wonders katika mechi ya kiporo ya Kombe la Shirikisho, lakini mapema ...
BAADA ya kukaushia dili kadhaa zilizotua mezani kwa ajili ya kutaka kumnunua Clement Mzize, hatimaye mabosi wa klabu hiyo ...
Kipindi cha pili Simba bado ikaendelea kuliandama lango la Kilimanjaro ikipata bao la tano kupitia kwa mshambuliaji Steven ...
KIUNGO mshambuliaji wa Mashujaa, Balama Mapinduzi ‘Kipenseli’ amesema ameanza kujitafuta mapema kikosini kabla ya kurejea kwa Ligi Kuu Bara, akipania kutumua duru hilo la pili kuondoa gundu ...
PAMBA Jiji na Fountain Gate zimepelekana Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kwa kile kinachodaiwa miamba hiyo yote miwili ...
MSHAMBULIAJI wa Singida Black Stars, Victorien Adebayor amepiga mkwara mapema kabla ya ngwe ya lala salama ya Ligi Kuu Bara ...
HII ni wiki ya Josephat Arthur Bada, Mohamed Domaro Camara na Emmanuel Keyekeh, wachezaji watatu wa klabu ya Ligi Kuu Bara ya ...
KOCHA mpya wa Stand United ‘Chama la Wana’, Juma Masoud amesema licha ya kukabidhiwa timu hiyo wakati huu wa michezo ya ...
LONDON, ENGLAND: KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta amesema timu hiyo itakata rufaa juu ya kadi nyekundu ya beki wao Myles ...
MANCHESTER United imeulizia uwezekano wa kumsajili mshambuliaji wa Chelsea na Ufaransa, Christopher Nkunku, 27, kwa ajili ya kuziba pengo la winga wao raia wa Argentina, Alejandro Garnacho, ...
HALI iliyonayo mabingwa wa zamani wa Ligi ya Wanawake (WPL), Mlandizi Queens siyo nzuri na sasa inasuka mipango mipya ...